Recent Posts

header ads

Saturday, March 30, 2019

Picha Baada ya Yanga kushinda dhidi ya Alliance

Picha Baada ya Yanga kushinda dhidi ya Alliance

Jana kikosi cha Yanga kilifanikiwa kupata ushindi na kufuzu hatua ya Nusu Fainali kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup.

Hizi ndizo picha za mtaukio mbalimbali wachezaji Yanga wakishangilia ushindi huo katika uwanja wa ccm Kirumba.

0 Comments:

Post a Comment