Picha Baada ya Yanga kushinda dhidi ya Alliance
Jana kikosi cha Yanga kilifanikiwa kupata ushindi na kufuzu hatua ya Nusu Fainali kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup.Hizi ndizo picha za mtaukio mbalimbali wachezaji Yanga wakishangilia ushindi huo katika uwanja wa ccm Kirumba.















